Waziri Ummy: Takribani watu 132, 000 nchini huambukizwa Kifua Kikuu kila mwaka
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kwamba takribani watu 132, 000 hapa nchini, wanaambukizwa ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB) kila mwaka, huku wengine 25, 800 huripotiwa kufariki ambao ni wastani wa...